uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
Ukimwambia usifanye atapambana juu chini hata kwa siri atafanya. Bora tu asiwekewe ukomo.Na ndio wanapenda eti
Kwanini akae kimya?Nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza sana
Kuna ile clip anasema usimpelekee umbea na kumuapiza asiuseme ilihali wewe mwenyewe umekushinda kutunza ukausema.Nisimulie ilikuwaje?
Kwanini akae kimya?
Mbona wewe uliambiwa usiambie mwingine ukaambia
Hilo ni fundisho dogo tu
Ukiaminika jitahidi kuweka mazingira ya wewe kuaminika
Kuna ile clip anasema usimpelekee umbea na kumuapiza asiuseme ilihali wewe mwenyewe umekushinda kutunza ukausema.
Ila kwakuwa yeye ni mtu mzima ataongezea maneno kidogo kuifanya inoge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wanaume Wana haya mambo?
Ongeza juhudi za kujitahidi ufike hata mwaka😂😂Haya na nilijitahidi kweli sijasema mwezi kabisa umepita sijui nilipitiwa nini mimiii
Unaanzaje ?😅sana tu