Naenda nikiwa napretend kuumwa il niruhusiwe
Nenda discussion katengeneze course work acha kutegea babuu
mambo binamu.....?
Ni pouwa.....
Mi nipo sana we ndo sikuoni...umeadimika....
Kwa mfano ww uko kwenye group task namaanisha (kazi ya kundi) then mkakubaliana na wenzako mkutane sehemu (x) kwa ajili ya kufanya shuguli flan then ww ukiwa kama mmoja wa watu ambao wangetakiwa kufika hukutokea je ulifanyaje kuwa pooza ili wakuelewe?
Nenda na majibu sahihi ya task
Hapo wanaweza wakakuelewa .
Mi nipo sana we ndo sikuoni...