Ilikuwaje?

Hii gari itakuwa imegongwa na kitu kizito chenye ncha kali
 
Gari imejikusanya matairi ya mbele na ya nyuma, mlango wa mbele na boot hivi unaponea wapi. Labda kama walirushwa wakati wa msukosuko
Lusajo11 angalia vizuri haijajikusanya bali imepindwa kwenye nguzo ambayo haileweki ni ya nini, yani kama imenyongwa vile
 
Last edited by a moderator:
iyoooo maweee.. toyota hiace imegeuka kuwa kibajaji.. duh!!!! ;
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…