Viongozi wa Simba wanajali 10% tu kwakuwa wanategemea ajira.
Kiongozi wa mpira anatakiwa awe mtu mwenye pesa zake.
Ndiomana kapteni anasajiriwa kila mwaka kwakuwa anatoa 10% bila shida kwa Mango Kimambi na wenzake.
Utamwanzaje kumwambia Shibobo akupe 10%?
Nadhani nimeeleweka
Hili ndilo lililo mwondoa Okra na Shibobu.
Na Fransis Kahata.