Elections 2010 Ilikuwaje jk akaongoza tanzania kwa miaka 5?

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Wakuu kweli nimeamini Watz tulifanya makosa makubwa sana kumwingiza JK Ikulu. Kumbe alikuwa mtupu kiasi hiki hatukuja . Haki ya Mungu, walahi Mtume. Yaani alifaa tu kuimba taarabu na sio kuwa Raisi wa Nchi. Ni aibu kuongozwa na mtu kama huyu . Too poor to be a president of any fool's republic. Mola tuepushe na Rais mwingine kama huyu 2010. Tupe Doctor wa ukweli. Doc Slaa .
 
Back
Top Bottom