johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,128
Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
vepeeeee leo ulienda mahakamani kumuwekea bondi dogojanja? au umeingia mitini?Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
Hahah..mwenyezi mungu alimuonyesha njia mapema..Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
Etii??Unamjua yule kada asiyevaa magwanda?Hivi ni lini ccm wamejitenga na mafisadi?au mmeshatuona watanzania wajinga,
Yote yanayofanyika ni miradi ya ccm na hakuna hata kada mmoja wa CHADEMA aliyehusika na ufisadi,sasa huo ujasiri mnaupata wapi chama cha makinikia?