pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,230
- 1,687
Nimecheka aisee
mwanamke anafanana na pogba[emoji1787]
mwanamke anafanana na pogba[emoji1787]
Huko kwenye kuvuta hisia nshakula warembo wengi sana kwenye hii dunia [emoji16][emoji16]Pole Mwana.
Anyway Kama Ni make up tu wenzio wanajitiaga hasira wanakula mzigo kwa kuvuta hisia kwa mtu mwingine Ili kufidia gharama za kuspend [emoji1787][emoji1787].
Hata hilo ulishindwa?
Huy ni mwingine kwa kweliHv Jf kuna davinc wawil, davinc domo nzege na davinc wewe, au ndo yule yule saizi kaamua kuja kivingine na story za kitoto?