Ilikuwa kama uchaguzi kamili

Kama waniona vile nipo hapa napata vyangu,we siunasemaga unakuja huji
 
kuna habari mbaya za kukamatwa na police vijana walioendesha huu mchakato
 
Duu..nimempenda huyo dada..yan kanyooosha mkono mpk kwa lowasa wakati kuna box lingne lipo karibu.Yan me ubishi wangu tu kubaki ugambani ila lowasa anatisha!!!

Huku anapigwa picha hajali wala haoni aibu kweli CCM inachukiwa.
 
Hata hivo hao vijana watakua alama ta ushindi mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…