Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Kila chenye mwanzo kina mwishoIlianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya...
Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama kupotezwa kwa Siku kadhaa halaf unakuja kuokotwa Siku ya 5 ukiwa Ofisini kwako Ukiwa uchi wa mnyama, Umekufa na kuoza..
But yote Ilianza na Vikaratasi vya Daudi Albert Bashite kama hiki hapa:
View attachment 1307627
Nchi yetu ni tajiriNyuzi za namna hii tumezichoka bwana! CHADEMA! Hanna jipya? Mwaka unaisha kila siku yaleyale??? Khaaa??? anza 2020 na fikra mpya!
Kwani uongo?? Hatuyafanyi hayo??? Kazi ya upinzani ni kudharau na kubeza tu. Haya yooote tunayafanya na matokeo yanaonekana waziiiiiNchi yetu ni tajiri
tumeibiwa sana
Kutumbua majipu
tunajenga madaraja
stiglers gorge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaya ni sahihi kukemewa wakati wote. Ungeonesha busara kama ungesema umechoshwa na uhayawani wa kuteka na kubambikia watu kesi. Cha ajabu huchoshwi na ushetani unaofanyika ila unachoshwa na wanaochukizwa na ushetani.Nyuzi za namna hii tumezichoka bwana! CHADEMA! Hanna jipya? Mwaka unaisha kila siku yaleyale??? Khaaa??? anza 2020 na fikra mpya!
Kumbe na wewe ni bwege kiasi hicho? Hiyo post ni official statement ya Chadema? Unahusishaje mawazo ya mtu tena humjui na chama cha siasa.Nyuzi za namna hii tumezichoka bwana! CHADEMA! Hanna jipya? Mwaka unaisha kila siku yaleyale??? Khaaa??? anza 2020 na fikra mpya!