K KILOTI Member Joined Apr 10, 2011 Posts 46 Reaction score 3 May 28, 2011 #1 Mwl alimuliza mwnfnz kwanini unapaka mafuta wakati nafundisha? mwanafunz nilimsikia mama anamwambia baba pakaa mafuta-
Mwl alimuliza mwnfnz kwanini unapaka mafuta wakati nafundisha? mwanafunz nilimsikia mama anamwambia baba pakaa mafuta-
K KILOTI Member Joined Apr 10, 2011 Posts 46 Reaction score 3 May 28, 2011 Thread starter #2 Kwenye kichwa kama haiingii!, namimi napaka kichwani ili unayo tufundisha yaingie vizuri
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,480 May 28, 2011 #3 huyu dent balaa. Kwa hiyo akajaza rays kichwani?
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,734 Reaction score 1,009 May 28, 2011 #4 Jaluo_Nyeupe said: huyu dent balaa. Kwa hiyo akajaza rays kichwani? Click to expand... rays...teh teh teh tena itakuwa ile ya kikopo cha kijani... inanukia hiyo!! au shanti kabisa
Jaluo_Nyeupe said: huyu dent balaa. Kwa hiyo akajaza rays kichwani? Click to expand... rays...teh teh teh tena itakuwa ile ya kikopo cha kijani... inanukia hiyo!! au shanti kabisa
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,480 May 28, 2011 #5 Bushbaby said: rays...teh teh teh tena itakuwa ile ya kikopo cha kijani... inanukia hiyo!! au shanti kabisa Click to expand... aisee!!! Nilishasahau mafuta ya shanti asante kwa kunikumbusha.
Bushbaby said: rays...teh teh teh tena itakuwa ile ya kikopo cha kijani... inanukia hiyo!! au shanti kabisa Click to expand... aisee!!! Nilishasahau mafuta ya shanti asante kwa kunikumbusha.
S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 May 28, 2011 #6 duu,his parents were very poor in fore playing,
B braya Member Joined May 28, 2011 Posts 24 Reaction score 0 May 30, 2011 #7 KILOTI said: Kwenye kichwa kama haiingii!, namimi napaka kichwani ili unayo tufundisha yaingie vizuri Click to expand... duh!nimeipenda hiyo
KILOTI said: Kwenye kichwa kama haiingii!, namimi napaka kichwani ili unayo tufundisha yaingie vizuri Click to expand... duh!nimeipenda hiyo
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,428 May 30, 2011 #8 Hizi nyumba za uswahilini zitaharibu watoto wengi aisee.
Ney wa Barca JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 310 Reaction score 36 May 30, 2011 #9 hayo ndio maisha yetu ya uswazi jamani?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 May 30, 2011 #10 Mmmmh!!