Ili uwe mtu mwenye mafakio unatakiwa uwe na sifa zifuatazo

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,980
3,578
Neno mafanikio ni pana sana pia tafsiri yake inatofautiana kutoka mtu mmoja na mwingine. Hivyo singependa kuongelea neno mafanikio bali kueleza kwa nini watu wanafanikiwa? Nini usifanye kusudi ufanikiwe? Utajuaje kama umefanikiwa? Kwanza kabisa ili kufanikiwa unahitaji yafuatayo.

1. Vision
2. Time
3. Timing
4. Strategies
5. Inner motivation
6. Innovation
7. Speed
8. Be Independent
9.Energy
10. Think for others
11. Be Simple but not cheap

....To be continued
 
Back
Top Bottom