kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
Hivi sasa vijana hatupendwi na wanawake ispokuwa vinapendwa tunavyomiliki mfano wanawake wa sasa humpenda mwanamme kwa sababu ya pesa/mali anayomiliki, kiwango cha elim, umaarufu alio nao eg platnum, sura kwa kiasi kidogo mno hivyo inapelekea uhuciano mwing kutokudum kwa sababu hivyo ni vitu vya kuisha mfano mwanamke kapenda mali ina maana mali ikiisha bint ni kuchapa laba mwendo mdundo, au kama umependewa kazi ikitokea ukafukuzwa je?
Na hiyo imepelekea mpaka vijana ciku hiz tunasema uongo kwa kuwadanganya kwa magari ya kuazima ili tuwapate hivyo baci ili kuepuka hilo inabid tufanye yafuatayo kwanza kabisa unapomtongoza bint jiweke katika hali ya kawaida ucitumie ushawish wa aina yeyote ambao utamfany akuone una maisha bora kujicifu umesoma kwenda na gar kwa mrembo kupiga expensive pamba hivyo inabid uwe smat ila ktk mavazi ya bei ya kawaida kama una nyumba kali au expensive car uciidhihirishe na wala ucijicifu una mali ndugu zangu tujitahid kumjenga mwanamke akupende ukiwa na hali ngum pasipo na ushawish