Ili upendwe fanya yafuatayo

Ili upendwe fanya yafuatayo

Ukijifanya wa kawaida uonji ki2

si kweli, watu wameolewa na wanaume wa kawaida tu na wengine wamewazidi kipato na wameolewa.

pia wapo wenye fedha zao wanagongewa kama kawa na mashamba boy.

ah1 this love game is complicated.

unajua sio kwamba eti sote tunapenda pesa, but pesa inaleta security fulani na mwanamke yeyote anataka apate security from her man.

binafsi, napenda kwa dhati na huwa sijali pesa lakini mtu akiwa na kipato cha kueleweka nitampenda zaidi not becoz of the money but it shows ni mtu anayejituma, and i love that.
 
mapenzi hayana formula

umepata sehemu ya kuanika kyupi??????????????///// nmecheka sana na picha zake!!!!!!!! U made ma day leo!!!!!!!!!!!!!! Jf juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom