Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Bosi anatuhumiza tena kwa kutukaripia tuache siasa na tuiweke Tanzania mbele.
Kulingana na yeye, kuiweka TZ mbele ndiyo maendeleo.
La ajabu, yeye ni mwanasiasa na hana mpango wa kujiuzulu siasa leo au kesho.
Sasa ili tuache siasa inabidi yeye aonyeshe njia ajiuzulu nafasi zote za kisiasa na wengine tutafuata mkondo wake wa maji.
Asipojiuzulu nafasi zote za kisiasa nasi hatuna budi kutokuacha siasa pia.