ili serikali iende spidi ya 5G

joo_73

Member
Feb 8, 2017
88
67
kwa mawazo yng unajua ili iende kasi snaa poul makonda angekua waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa mkoa wa arusha angekua waziri wa ulinzi na mkuu wa mkoa wa mwanza angekua waziri wa tamisemi hio list ingekua mwendo kasi haswaaaaa na nchi ingenyoooka tuu
 
Back
Top Bottom