Ili kuongeza pato la taifa, machangudoa nao watozwe kodi

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Nchi za wenzetu huwa ukilala na changudoa usipomlipa unashitakiwa, mfano mzuri ni jirani zetu Zambia hapo. Sasa kwa hapa kwetu Tanzania ifike mahali nao walipe kodi kwa huduma wanazozitoa maana ukienda sehemu nyingi hawa machangudoa wana soko sana na wanapata kipato kikubwa ambacho kinatakiwa kukatwa kodi kama zile nyumba kule mwananyamala, buguruni, kimboka, temeke, maarufu kama kwa wahaya pia vile vyumba vilipe kodi.

Hawa wauza papuchi wana soko sana kwa kweli walipe kodi na wapewe haki zao, wakilala na mwanaume asipotoa hela apelekwe kituoni maana shughuli wanazokutana nazo ni balaa.
 
Back
Top Bottom