Ili kuongeza kasi ya kuleta mabadiliko,Tundu Lissu apewa nafasi moja kati ya hizi

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,068
151,315
Ama apewe(achaguliwe) uenyekiti wa chama Taifa au apewe ukatibu mkuu chama wa Taifa.

Kama huko kote hakuwezekani,basi hata apewe wadhifa wa kuwa Kiongozi wa Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.

Wapinzani tusome alama za nyakati na tuchukue hatua.Tunahitaji kufanya mabadiliko ili tuweze kuleta mabadiliko.

Ni ushauri.

A man without power but who fears no one,with power will fear only God-That is what I believe.
 
Back
Top Bottom