Ilhan Omar's Firsts

Anachoniudhigi huyu Bibi ni mbaguzi wa Dini mno. Sasa karudi tena jukwaani baada ya kupotea kwa muda mrefu ili aposti udini wake sababu muislamu mwenzake wa sunna kashinda uchaguzi marekani.
Ndio maana siku hizi sitaki kabisa Dini yeyote ile yamejaa ubaguzi, unafiki na chuki kama hili libibi FaizaFoxy.... Maaaaaaavi!
 
Nawewe ushajiona msomali kisa hiyo hijabu wehu sana nyinyi mnafurahia kupata vyeo kwenye ardhi ya makafiri?
...Ha ha ha Halafu mbona kama anaonyesha dole la kati huyo binti....
shenzi kabisa
 
Ilhan Omar ni mwanamke wa kwanza wa Kisomali, Muislam anevaa hijab ndani ya Senate ya Marekani.

Hongera Ilhan, hongera Afrika, hongera Somalia, hongera Waislam wote duniani.

Watetezi wa Uislam wanaongezeka kwenye watunga sheria wa Marekani, ni hatua kubwa sana kwa Uislam.


Ma shaa Allah
 
Lebanon wana utaratibu Rais mkristo na PM muislam always

Sent from my SM using Tapatalk
 
Wanaongeseka=wanaongezeka
 
The whole world was like that 600 years after Jesus because all his disciples "forsook him and fled".

Now you have around 1.5 billion Muslims around the world following and supporting Jesus' teachings to the dot.

What are you waiting for?
Kumbe watu ndio wanaoutetea uisilamu allah hana ubavu
halafu nikuulize jinsi uisilamu unavyo ongezeka kwa nini na uovu unaongezeka
nimeamini uisilamu ni uovu
Hata huku kwetu wanao ambarutiana wanaita mchezo wa kisilamu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke gani wa kiislaam anavaa mavazi ya kihuni. Huyo sio muislaam bali ana jina la kiislaam. Na hata kama ni muislaam kweli haendi kuongozwa na Quran ndani mle ila ni katiba ambayo wengi walioitunga ni walevi. Dada yangu kasome katika Qur'an sura ya 5 aya 47 mpaka 49 utanielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vazi lipi la kihuni kwenye hiyo clip?
 
Wewe ni mdini na mkabila nakufahamu siku nyingi ujuaji mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…