Mwanza mbona ni kawaida yetu!
Bila Shaka mbunge wenu ni ccm.
Si muende mkayachote ziwani...
Naskia mnaendaga kunya ziwani
Mtaisoma namba, ccm mbele kwa mbele, hapa kazi tu
fanyeni mpango muibane serikali ya magufuli iwasambazie kutoka kwenye mito na ziwa hilo, ziwa mnatakiwa mlitunze sio mchafuechafue
ikifika kesho hakuna maji tutaandamana kushinikiza meneja afukuzwe kazi haiwezekani nikichungulia dirishani nayaona maji ya ziwa halafu bombani hakuna maji.
hiyo ndio spirit, ila kuna mabomu siku hizi