Ndugu wanabodi.
Leo wanaileje wamekaa Kikao kizito Kiwira Motel Kupinga maamzi ya Kupeleka Makao Makuu Mkwajuni.
Wadau hao wamepinga vikari na kulaani Maamuzi ya RCC ya Mkoa. Kikao hicho kilichohudhuriwa pia na Mbunge wa wilaya hiyo Mh: Kibona.
Wadau hao wamemwambia Mbunge huyo kuwa ni maamzi ya kitoto ambayo hayapaswi kuungwa mkono.
Mjumbe Mmoja akiongea kwenye Kikao hicho Ndg. Elius Ndabila amesema kuwa hapingi uanzishwaji wa Mkoa huo ila Kigezo cha kupeleka makao makuu Mkwajuni kutako fanya watu wateseke zaidi. Hata hivyo amepinga vikari mapendekezo ya Mbunge kuwa ni Maamzi ya serikali kupeleka Mkwajuni.
Amesema kuwa yangekuwa maamzi ya Serikali kupeleka makao makuu Mkwajuni basi haikuwa na haja ya kushirikisha wadau kwenye vikao vya Mwanzo.
Mbuba amesema kuwa hili suala tunamtuhumu Mh. Mlugo kupeleka makao makuu hayo. Amesema hatuwezi kufanya kazi ya Mlugo.
Wadau hao wamesema wataendelea kupambana Mpaka kieleweke.