Ile Video mauaji ya arusha iko wapi - Naomba CDM

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Ile video au mkanda wa matukio na mauaji ya arusha inapatikana wapi?

Ipo You tube au wapi?
 
Naona ile cd imekuwa lulu. Waliotuhaidi kuwa ipo kama hawakuiandaa wametupotezea muda kuamini ktk ilo na tutapoteza imani nao!
 
Back
Top Bottom