Ile video hii hapa na huu ndo mwendelezo wa ushidi

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Kama kawaida kaka ngote anazidi kuprove yeye mkali kuliko wakina wale.
Bonge la kichupa. International inaitwa io usichezee kabisa maana utavunjika taya
Kama hujaitazama sijui unangoja nn
Diamond x AKA MAKE ME SING
 
Napata mashaka mwanaume kumsifia mwenzake,wasiwasi unakuja kwa anaesifia,ni punga au?
 
Napata mashaka mwanaume kumsifia mwenzake,wasiwasi unakuja kwa anaesifia,ni punga au?
Hahahhaha sema yote boy ila ukweli uko palepale ..... hetaaaaaaa

Eti wanaume hawasifiani
Ulitaka nimsifie tembo? Kwa io yule ni wa kike?

We mwenyewe hapo deep in yu kuna mchezaji wa mpira unamkubali? Ina maana we shoga? Na kama hamna mchezaj wa mpira unaemkubali basi nina mashaka na wewe.
Ukiwa unahate kitu njoo na point nzito
 
Najikubali mimi,sasa nianze kumsifia mtu hata hanijui,af unapata faida gani sasa ukimsifia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom