Umemaanisha nini hapa mkuu bazaziMuhimu kutoa sababu ya jambo lolote
Bazazi!
@tozi25Mkuu wewe usalama wa taifa?[emoji15] au Ubazazi ndio umefanya kuyajua yote haya.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuu yaani leo nimeshinda kutwa nzima nasoma uzi wa "umeshawahi kula tunda kimashara?" So japo huu nimeusoma na unasikitisha kwa kuwa kichwa kimechoshwa na uzi pendwa tajwa naomba huu ni comment kesho.
client3:Oh Bazazi pole sana,
Ila saikolojia ya mapenzi wanaume wengi hawaitambui, huyo mwanamke sio kwamba anampenda yule mwanasheria ni mihemko tu na kuna feeling ya penzi jipya anaitamani maana kwa kweli kwenye ndoa ya kamuda karefu kuna vitu huwa kihisia vinapotea yanabaki mazoea zaidi.