Ile ishu ya bandari imeishia wapi?

Ile ishu ya bandari imeishia wapi?

Sikutegemea majibu haya kwakweli

Mi nikajua wanaJamiiForums mulihakikisha kila kitu kimeenda sawa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cc denooJ nilikwambia watanzania ni watu wanaenda kwa upepo tu hawana reasoning yoyote ile.
Siku hizi ni id tofauti, hiyo imekuwa replaced, anyway, upepo unaomalizwa na kutolewa maelezo kwangu sioni kama kuna tatizo.

Yanayoenda na upepo ni kama hayo ya kina Mwijaku, Manara na wengine wa sampuli hiyo, watu wa kutafuta kiki!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya DPW yalikuja kumalizwa na serikali kusema imeingia makubaliano ya muda na waarabu kufanya kazi bandarini, japo muda wenyewe hatukuambiwa ni muda gani.

Simply serikali ni kama ilikuja na igizo la kujibu yale maswali yote waliyokuwa wakiulizwa mwanzo wakakosa majibu, wakaja na mkataba mpya ambao hatukuoneshwa, wakaambatana na waarabu wa DPW, pamoja na Kitila kama waziri wa uwezeshaji kama sijakosea, na Prof. Mbarawa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwani ww umesahau kuwa watz ni watu wa kwenda na upepo?

Ulianza upepo wa bandari ukaisha,ukafuata upepo wa mgao wa umeme ukapita, ukaja upepo wa makonda kuteuliwa kuwa mwenezi wa ccm ukapita ,ukaja upepo wa Simba kufungwa 5 na yanga ukapita , ukaja upepo wa manara kutembea sijui na demu gani ukapita, ukaja upepo wa mtz aliye uliwa na Hamas ukaisha, ukaja upepo wa Mwinjaku kuzindua ghorofa ukapita,sasa hivi tuko kwenye upepo wa maandamano ya chadema yaliyo tangazwa na mbowe , yaani hili linchi lina mambo ya hovyo na raia wake pia ni wa hovyo.
Upepo wa maandamano ushapita...sasa ni mjadala wa kazi za JWTZ ni zipi....wengi hawana hata habari kama mjadala huo umeletwa na maandamano ya chadema...

Leo Taifa Stars wanacheza...story zitahamia kwenye afcon
 
Walishamove wapo kwa TB joshua ila nalo litapita... Watanzania hawana consistency kiufupi hawana maajabu
La TB Joshua halikubamba sana...wabongo wamechanganyika sana hivyo wanakwepa mijadala ya kidini ili kuepuka kuwakwaza majirani, ndugu, jamaa na wapenzi(bongo ni kawaida kukuta ustadh anakula mlokole and the vice versa is also true)!
 
Habari Wakuu!

Samahanini kama nitawakwaza maana huenda likawa swali lenye kutoneza hisia za watu maana sijui iliiashia vipi (May be labda ndo kweli imeenda)

Ssa wanaJamiiForums kwa kipind fulani nilikuwa chaka huko hata kufuatilia yanayoendelea ilikuwa kikwazo lakini baada ya kurejea naona sisikii tena kuhusu bandari
Ningependa munijuze wanaJamiiForums wenzangu kwani imeeishiaishia vip?

Natanguliza shukrani za dhati kwenu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
ni vizuri angeulizwa tindo lusu 🐒
 
Upepo wa maandamano ushapita...sasa ni mjadala wa kazi za JWTZ ni zipi....wengi hawana hata habari kama mjadala huo umeletwa na maandamano ya chadema...

Leo Taifa Stars wanacheza...story zitahamia kwenye afcon

Ni kama vile kijiwe cha kahawa story zinavyohamahama

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani sisi ni kundi kubwa sana la watu ukilinganisha na kundi dogo sana linalo faidika na raslimali nzima ya watanzania…

Nakumbuka hii nchi wapepigania ma babu zetu na uhuru tumepata sasa hiki wapi ile elimu bora, utawala bora na afya bora au ni Bado tuendelee kusubilia… angali pale burkinafaso kijana Ibrahim mwenye Miaka 35 amekitaidi kuleta mapinduzi…

Je tutaendelea kulea vitu Kama hivi?
 
Upepo wa maandamano ushapita...sasa ni mjadala wa kazi za JWTZ ni zipi....wengi hawana hata habari kama mjadala huo umeletwa na maandamano ya chadema...

Leo Taifa Stars wanacheza...story zitahamia kwenye afcon
Na sasa Mkuu tupo kwa Makonda

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
..bandari haijachukuliwa yote na Dpw kama walivyojaribu mwanzo.

..badala yake zimegawiwa gati chache ambazo zitaendeshwa na Dpw.

..pia baadhi ya gati atapewa Mhindi aendeshe badala ya Ticts.

..bado kuna makandokando kwasababu uwekezaji anaouleta Dpw ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom