Ilala Islamic sec school wafanya mahafali ya 9.

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
604
Reaction score
287
Nafasi za masomo 2017.

Shule imetangaza kidato cha I na kuhamia vidato vingine II mpaka VI wanachukua.

MLETE MWANAO APATE MALEZI NA ELIMU BORA.
 
duh,mkuu uko normal kabsa kchwan mwako au umepga vitu havtakiw kw ubong.mbna uzi wako huu hauelewek? content na kchwa tofaut.afu sio kila kitu lazma utengnez thread vngne waweza potezea iyo itasaidia pia.
 
Hatuleti watoto hapo mnawafundisha ugaidi mimi nimepeleka Lutengano ipo tukuyu mbeya wanaandaa watoto vyema kiroho na kitaaluma na si kigaidi na makaratee yenu
 
Unaposema kitu uwe na mifano yakinifu mkuu si vizuri kutuhumu kama wanafundisha watoto ugaidi vyenginevo tuletee ushahidi uliojitosheleza..
 
M

Mwambie ajue. Yeye anachuki binafsi
 
Hatuleti watoto hapo mnawafundisha ugaidi mimi nimepeleka Lutengano ipo tukuyu mbeya wanaandaa watoto vyema kiroho na kitaaluma na si kigaidi na makaratee yenu
Ugaidi ufundishwe Tanzania tena ilala!!! Ja CIA wafundishe nini?

Tumia 10% ya akili yako kuwa free usivebeshwe maneno kama .........
 
duh,mkuu uko normal kabsa kchwan mwako au umepga vitu havtakiw kw ubong.mbna uzi wako huu hauelewek? content na kchwa tofaut.afu sio kila kitu lazma utengnez thread vngne waweza potezea iyo itasaidia pia.
Wenzako wanaelewa. Jitathmini sio utafuniwe kila kitu
This is for greater thinker only. Free your mind. Think inside and outside the box. All angle
 
Nafasi za masomo 2017.

Shule imetangaza kidato cha I na kuhamia vidato vingine II mpaka VI wanachukua.

MLETE MWANAO APATE MALEZI NA ELIMU BORA.
Shule IPO ilala mtaa Wa arusha. Ni ya wavulana na wasichana .
Ina hostel kwa wav na was
Ada rahisi na inalipwa kwa awamu 4
Karibuni nyote.
 
Wenzako wanaelewa. Jitathmini sio utafuniwe kila kitu
This is for greater thinker only. Free your mind. Think inside and outside the box. All angle
inawezekana ni kweli,ila sio kwa great thinkers kam wew....kwanza ulikimbia unakuja kujibu leo nahisi ni woga tu ama siku zote ulikuwa unafikiria uje ujibu nin.
 
Mahafali ya 9 ya tar 12.11.2016 ya kuhitimu
Kidato cha IV. Yalifana sana pale ila la bungoni garden. Utafikiri Udsm au Udom

Welcome next gradu.
Elewa black page. Don't be empty
Have something. Live
 
inawezekana ni kweli,ila sio kwa great thinkers kam wew....kwanza ulikimbia unakuja kujibu leo nahisi ni woga tu ama siku zote ulikuwa unafikiria uje ujibu nin.
Thank you
Umeelewa.
Karibu
 
Hawavaagi still olevel ila walipendeza na gradu ilifana.

Tena yenye maadili.

Wajuaji walisubiri mpaka prof. Ndali ayapige marufuku.
 
Back to school
Go to ilala Islamic sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…