1987?Primary umemaliza 1987?
Dogo anza kutoa salamu kwa wakubwa zako
Umesha rudi , safari yako ya TA?Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM.
Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu Mang'enya, mwalimu Sanga na wengineo.
Tumeshakula chumvi nyingi sasa!
YesUmesha rudi , safari yako ya TA?
Poapoa , mzee wa Saigon