Ilaaniwe siku ya VALENTINE

Ilaaniwe siku ya VALENTINE

Shida nini? Mbona haraka hivyo mpaka unasahau na kuandika kisa vizuri kikaeleweka? Unatoa taarifa au lawama.

Ukisikia hiiiiiii ujue tayariiii jiwe limempata muhusika huko, anyway kijana sijui mzee wewe, acha kuyapa kipaumbele mapenzi haswa ya kudumu na mtu mmoja.

Pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom