R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,343 Reaction score 55,071 Aug 23, 2025 #1 Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yake
Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yake
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 62,640 Reaction score 181,595 Aug 23, 2025 #2 Ni kama account yake ya bank kudukuliwa bwashee
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,343 Reaction score 55,071 Aug 23, 2025 Thread starter #3 min -me said: Ni kama account yake ya bank kudukuliwa bwashee Click to expand... Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yake
min -me said: Ni kama account yake ya bank kudukuliwa bwashee Click to expand... Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yake
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,949 Reaction score 172,948 Aug 24, 2025 #4 Nikilewa mniache said: Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yake Click to expand... Urafiki uendelee na aanze tu kumuita Odo, maisha ndo haya haya.....
Nikilewa mniache said: Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yake Click to expand... Urafiki uendelee na aanze tu kumuita Odo, maisha ndo haya haya.....
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,461 Reaction score 198,007 Aug 24, 2025 #5 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: Mahondaw
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,789 Reaction score 62,873 Aug 24, 2025 #6 haha
shibela JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 3,835 Reaction score 13,706 Aug 24, 2025 #7 Nikilewa mniache said: Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646 Click to expand... π€π€π€π€ Hapo lazima urafiki uote mbawa!
Nikilewa mniache said: Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646 Click to expand... π€π€π€π€ Hapo lazima urafiki uote mbawa!
F FUNGUAMDOMO JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,385 Reaction score 52,165 Aug 24, 2025 #8 Hao ndio mnawaita watoto wa afu 2
Mama Ametufikia JF-Expert Member Joined Jul 17, 2024 Posts 535 Reaction score 1,395 Aug 24, 2025 #9 Hao wamama wajikite kulea wajukuu mitandao wawaachie vijana wao
Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 15,265 Reaction score 37,628 Aug 24, 2025 #10 Nikilewa mniache said: Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646 Click to expand... Kimeumana π
Nikilewa mniache said: Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646 Click to expand... Kimeumana π