Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,283
- 51,880
Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yake
Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yakeNi kama account yake ya bank kudukuliwa bwashee
Urafiki uendelee na aanze tu kumuita Odo, maisha ndo haya haya.....Amelia weee, kumbe mubaba wake ni babaake na huyo rafiki yake.... Mbaya zaidi rafiki yake kagundua kumbe rafiki yake anatoka na baba yake
🤓🤓🤓🤓Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646
Kimeumana 😂Binti wa zamani Mamndenyi Bi zandile shibela Midekoo Evelyn Salt shoga wenu amelia kisa rafikiye katuma picha akiwa na baba yakeView attachment 3450646