mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Sioni tatizo.Kwema ndugu?
Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....
Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk
Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.
Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.
Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?
Ni kumbu kumbu tu jamani!
Kenzy mwenzio Extrovert yuko wapi? Hebu muite!Ni swala la saikolojia tu na vile mtu anavyojikubali
Niliwahi kum feel ila nilituliza Kiranga, sikutaka ajue.Umemmisi huyo demu sema tu ukweli
Daaah haya bhanaSioni tatizo.
Kila mtu ana machaguo yake. Na yanapaswa kuheshimiwa. Kila mtu aridhishe nafsi yake.
Kama ambavyo kuna wanaume hawana hela na wanatamani wanawake warembo, waliojazia mikiani alafu maarufu.
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Jikogh kjgf ktk jitu wali maharage.Kenzy mwenzio Extrovert yuko wapi? Hebu muite!
Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.Kwema ndugu?
Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....
Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk
Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.
Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.
Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?
Ni kumbu kumbu tu jamani!
Wanaume wengi wanaumia na wanapata matatizo kwa sababu hawajikubali na kujiamini. Cha muhimu kupita yote ni thamani yako kwanza. Tuamke vijana.Kwema ndugu?
Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....
Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk
Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.
Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.
Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?
Ni kumbu kumbu tu jamani!
[emoji23]Jikogh kjgf ktk jitu wali maharage.
Mkuu,Kwema ndugu?

Unakosea sana! Nakusihi uache kufanya hivyo mara moja. Kwa nini umefikia kuwadharau mates wenzio namna hiyo?Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.
Saivi ukimwambia unajipigia kiulaini sanaNiliwahi kum feel ila nilituliza Kiranga, sikutaka ajue.
Hapana, si kwa vipimo vyangu tu, ni kwa macho ya wanaume wengi alikuwa na uzuri na figure la kawaida mno. Hii ya yeye kuwa selective mno ilinistaajabisha mno...!Mkuu,
Ulitaka uwe na haki ya kumpangia mwanamke mtu gani wa kuwa naye kwa sababu wewe kwa vipimo vyako unafikiri huyo mwanamke si mzuri?
Sijui maisha yapoje. Unadhani kwa nini?Saivi ukimwambia unajipigia kiulaini sana
Kwa hivyo unataka kumpangia mwanamke mtu wa kuwa naye kwa mujibu wa vipimo vya wanaume wengi?Hapana, si kwa vipimo vyangu tu, ni kwa macho ya wanaume wengi alikuwa na uzuri na figure la kawaida mno. Hii ya yeye kuwa selective mno ilinistaajabisha mno...!
Hakika! Nilikuwa na mawazo hayo mkuu.Kwa hivyo unataka kumpangia mwanamke mtu wa kuwa naye kwa mujibu wa vipimo vya wanaume wengi?