Ila kuna vitu vinakera sana

MMMH KWELI WATU WANAUMIZWA,KUNA HAJA SERIKALI KUANZISHA KITENGO CHA WALE WANAOTESWA KIMAPENZI
HILI NI JANGA KUBWA MNOOOO
[emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli serikali iingilie Kati ... Watu wanaachwa tu na serikali ipo tu

Now days hauwezi kuperuzi mitaandaoni bila kukuta malalamiko ya walioachwa
 
Mkuu mtu akinijibu kwa herufi P au unamwambia nakupenda anakujibu asante wakat ni mpenzi wako huna naona kma ni dharau kwangu
ukiona hivyo hupendwi endelea tu nasafari kuna mtu anapendwa na anajibiwa vizuri tu kwa hiyo uciumie chukuliwa kawaida wala ucimtukane ipo siku atajifunza na atatamani kurudi
 
tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka

Hapo nd nmekuelewa
 
Ukiona hivyo jua ameshakuchoka au kapata njemba nyingine inamkuna kisawa sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa mademu akikupenda atakuganda mpaka utashangaa ila siku akikuchoka ndo utajua kwa nini wimbo wa taifa haunaga video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…