Ila kuna vitu vinakera sana

Asante chuma cha mjerumani una maono sana.

Post za watu humu sisi wengine tunajifunza sasa ukimuumbua mtoa post tukajifunzie wapi?

Nilimshangaa alipomwambia amwambie mhusika.
Yulee wakwako ambae hakujibu Wala hapokei ambae alikwambia haumpi uhuru kwanini na yeye usingeenda kumwambia yeye?? Ukajakutuambia huku.

Nilimlaumu yule jamaa ila nshaanza kuhisi wewe ndo tatizo.
 
Sikia bro inabid uwe muhun mbali na hapo utateseka sn
 
Usifosi upendo mkuu kama umeisha kubali hali majibu mafupi na ya hovyo yanakera na kuumiza sana ikiwa yanatoka kwa umpendae uliewekeza malengo yako kwake.
 

Unakwama wapi mkuu!tuma na yakutolea
 
ucikereke mapema mulize anashida gani wenda na yeye amevurungwa kama siku zote hayuko hivyo jua kuna kitu, baada ya kumuliza utajua tu kulikuwa na nini
 
Piga chini uendelee na life
pinga chini sio ufumbuzi wa tatizo utapiga chini wangapi? aulize kwanza mwenzio anashida gani kwani huwa anakuwa hivyo? kama hiyo ndio tabia yake basi ampige chini maana ukiona hivyo hupendwi
 
pinga chini sio ufumbuzi wa tatizo utapiga chini wangapi? aulize kwanza mwenzio anashida gani kwani huwa anakuwa hivyo? kama hiyo ndio tabia yake basi ampige chini maana ukiona hivyo hupendwi
Mkuu mtu akinijibu kwa herufi P au unamwambia nakupenda anakujibu asante wakat ni mpenzi wako huna naona kma ni dharau kwangu
 
Huyo dawa yake mtukane tu ataanza kuandika message mkeka hadi ushangae 😂
 
Man down ..I repeat man down over [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu .tangu umepata binti wa kukudatisha na mauno Yake..Basi sisi wengine wote unaona tunateseka..

Nasema hivi "MNATAACHANA TU".
Pimbi Wewe[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji3][emoji3] umeshapona vidonda jeraha la moyo [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…