Mkuuu..Sina kazi vipi unaTAKA uniajiri?Wew kila post upo hunaga kazi na wewe?
Kila post yenye dukuduku hutaki ipostiwe huku eti iende kwa mlengwa umeambiwa sisi wengine hatuitaki?
Ukiona huna cha kuchangia shona mdomo utoke kimyakimya.
Kama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,Wew kila post upo hunaga kazi na wewe?
Kila post yenye dukuduku hutaki ipostiwe huku eti iende kwa mlengwa umeambiwa sisi wengine hatuitaki?
Ukiona huna cha kuchangia shona mdomo utoke kimyakimya.
Kweli kabisaaaa....naona anateseka na Mimi kutokuwa na KAZi...Mkuu atafute papuchi inalipa Sana...Kama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,
Au nasema uongo ndugu wananchi?
Tatizo lako weye ni kinganganizi hiyo ndio shida ,na ukiwa mpole sana demu anakuona weye mshamba na huwezi kupata demu kama yy ,lazima uwe mtu wa kutoeleka lkn unakuwa hewallah bibi kila kitu mwisho wanakuona boriiiing hao ndio wanawake code yao ni WANAWAKAAA na code yetu sisi wanaume WANAUMAAA.Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
Naomba umfikishie dukuduku lako muhusika...unakerekaje wakati was kumwambia yupo
Nimemwambia mkuuu...natumeyazungumza na tukafikiwa common ground.Yulee wakwako ambae hakujibu Wala hapokei ambae alikwambia haumpi uhuru kwanini na yeye usingeenda kumwambia yeye?? Ukajakutuambia huku.
Nilimlaumu yule jamaa ila nshaanza kuhisi wewe ndo tatizo.
Mkuu vp mbona kimya kuhusu ombi languMkuu .tangu umepata binti wa kukudatisha na mauno Yake..Basi sisi wengine wote unaona tunateseka..
Nasema hivi "MNATAACHANA TU".
Pimbi Wewe[emoji41][emoji41][emoji41]
Ombi gani Mkuu?..Mkuu vp mbona kimya kuhusu ombi langu
Kuna mambo fulan nataka tuonge pmOmbi gani Mkuu?..
Mayai gani unaongelea hapa....Chemsha mayai kwanza upate kifungua kinywa😂
Nawe mule muleKama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,
Au nasema uongo ndugu wananchi?
Sitafuti ubabe uzuri ujumbe umefikaMkuuu..Sina kazi vipi unaTAKA uniajiri?
Nikiamua kucomment ASUBUHI Hadi jioni...Wewe unawashwa Nini?...
HILI bando umeniwekea Wewe?
Tena ukome KABISAA wewe