kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Ameharibu siku asubuh asubuh kabisahChemsha mayai kwanza upate kifungua kinywa😂
Mkuu .tangu umepata binti wa kukudatisha na mauno Yake..Basi sisi wengine wote unaona tunateseka..Chemsha mayai kwanza upate kifungua kinywa
PHabarini wana jamvi wa MMU ,natumai mu wazima humu.
Daaaah , kiukwel kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka

Kupendapenda mtakuja kupenda majini.Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .

Namuandalia pigo takatifu shwain yeyeAnakupenda huyo. Oa.
Ndo ajibu "P" .kanikeraKuna wengine ni wazito kushika sim