Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,091
- 111,698
cocastic leo umeongea point sana. Agiza kijora kwa jirani yangu nalipiaMwayaa hapa nitakupinga, Usaliti wa mapenzi unatokea kwa makusudi na sababu, hauna bahati mbayaa..
Tusidanganyane jamani, ulidhamiria bhana.
Unapenda uchawi sijapata ona😐😂😂😂😂😂
Basi naomba nichovye hata mara 1 mi nitaridhika.Siuzi mkuu
Hapana sio bahati mbaya, ulifanya makusudi, na sababu ni huo umbali baina yenu, na wee ulishindwa kuvumilia mihemko ya mwili.Ni bahati mbaya jamani,.
Nampenda ndio ( Umbali tatizo nikashindwa kukaza )
Kuachwa ni fursa nzuri kabisa ya kupata mpenzi mpya.Ila kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Kama hakuna waaminifu kuwa mwaminifu. Chukua lililotokea hilo kama darasa la kurasa mpya utakayoanza kwenye uhusiano mpya.Yessou🥺🥺
Kumsamehe msaliti ni sawa na kumpa nafasi nyingine muuaji aliyekukosa kwa risasi ya kwanza,Binafsi usaliti siwezi vumilia kabisa hasa kwa mwanamke naemtizamia kama mke. Yani nikisikia "nywi nywi nywi" kaisha.
Kweli fimbo ya mbali haiui nyoka.Ni bahati mbaya jamani,.
Nampenda ndio ( Umbali tatizo nikashindwa kukaza )
Naomba mkuu ukibana bana sana utazikwa nayo .Please,. Respect 📍
Upo sahihi kabisa na wanakuwaga na machozi ya karibu hao balaa, kuna mmoja alilia siku mbili mfululizo lakini nikasema no siwezi huu ujinga.Kumsamehe msaliti ni sawa na kumpa nafasi nyingine muuaji aliyekukosa kwa risasi ya kwanza,
As a Gentleman,msaliti sio mtu wa kumsamehe hata kama Dunia nzima itakubembeleza.
Sio kivileee.Unapenda uchawi sijapata ona😐