Jamani haka kawimbo!?Niko tu mi baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli nilishe nishibe
Kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoeaNiko tu mi baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli nilishe nishibe
Kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Hapa sawa
Nandy - Nimekuzoea
Nyani Ngabu duu ze nidful pulizUngefanya utaratibu wa kui 'upload' humu kama hautojali
Kawimbo katama kama utamu wa Ngabu eeh….si ndiyo Muree?? 😉Nyani Ngabu duu ze nidful puliz
Mbona tayari ushaa aplodiwa bana…Oh yes[emoji4]
Nisaidie ku aplod bathii we msukuma
Haya…nakuletea hiyo hapo. Au unataka ya rangi tofauti?Shida haka kasimu kangu kanazingua, uniletee nyingine sasa[emoji11]
Link kwenye BIOBila link!!