👍👍Niko tu mi baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli nilishe nishibe
Kitumbo ndindi
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, abobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo
Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff
Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo
Nakupenda, nakuwaza
Bora my oh, my boo boo
We nipende nikupende we
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nimekuzoea nime nime nime
Nimekuzoea
Zuchu Ndio Kuzaa Kwa Nani?.Toa huo utopolo weka zuchu bana
Unataka kunipa hela?
Zuchu ndiyo style alotumia Nandy kuimbia Huu wimboZuchu Ndio Kuzaa Kwa Nani?.
Muhusika wa wimbo ni nani?.Zuchu ndiyo style alotumia Nandy kuimbia Huu wimbo
Ukienda pm nasisi tunaachana na uzi wako.Ninachotaka kukupa ni zaidi ya hela ngoja nikuje pm
Marehem mfugale (RIP)Muhusika wa wimbo ni nani?.
Ninachotaka kukupa ni zaidi ya hela ngoja nikuje pm
Ok, kumbe ndio maana chai ya usiku magadi kama pikipiki toyota Sanlg.Marehem mfugale (RIP)
....kule kule....yamenipeleka kuwa MAPENZI YA KWELI NI SACRIFICE...lolote linasimamiwa na hao watu wawili bila ya KUJALI AMA KUJUTA 🤣we mawazo yamekupeleka wapi kwani
Nina mpango wa kuwashauri JF waiondoe pm kwasababu kimekua kichaka cha umbea na ufisadi.Ha haa basi nimeghairi siendi tena
Yaan iyo pikipiki Ni nyepesi kama gazeti ina mpaka magazin ya kuweza kuweka risasi miambilOk, kumbe ndio maana chai ya usiku magadi kama pikipiki toyota Sanlg.
Kuna kulala hata nyama choma tambi za disco maisha plus.Yaan iyo pikipiki Ni nyepesi kama gazeti ina mpaka magazin ya kuweza kuweka risasi miambil