PreGE2025 Ila CCM tunachukiwa jamani!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Duh kumbe tulimpa watu 9 tu 🤔
 
Samia anaamini katika machawa
 
CCM ikiendelea kuwakumbatia wahuni, itarudi enzi zile za Msanii JK.
 
Ccm imejenga wapi? viwanja vya michezo tu vimewashinda, ni hospital gani imejengwa na Ccm, Sgr tunadaiwa watanzania wote wewe unaongelea mambo ya CCM hizo trilioni mia na ushee ccm mtazilipa?
We shangilia ili usitekwe
 
Sasa hapo ndio tofauti ya watu wenye uzoefu na upngoz vs wale ambao hawana. Nina mashaka sana na washauri wake wanamlisha matango pori, na yeye haingii field kuupata ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…