PreGE2025 Ila CCM tunachukiwa jamani!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHAUMA inakuja juu sasa hivi na inakubalika kweri kweri! Kwanini usihamie huko?
 
CHAUMA inakuja juu sasa hivi na inakubalika kweri kweri! Kwanini usihamie huko?
Hapana nitahamia kwa tunawakandamiza kama mambo yataendelea hivi manake wana hoja muhimu sana katika historia ya kupambania haki, usawa na utawala bora
 
°CCM IMEKUWA KAMA KAKA MKUBWA, AU UKUBWA JALALA,
-Njaa ikimuuma tu mtu sababu ni ccm
-Mtu amehitimu hajapata kazi sababu ccm, (hatambui kuwa hili ni tatizo la ulimwengu)
-Mtu ni mvivu kabisa anashinda kwenye keyboard kutukana, hatambui anapoteza muda lawama CCM,
#Pole ccm!
 
Reactions: Tui
🤣🤣
 
Imeandijwa"upandacho utavuna"
 
CCM imejenga vituo vya afya na mabarabara, sgr,daraja la busisi,maendeleo ya kutisha na kutekeleza ilani .
Ccm imejenga wapi? viwanja vya michezo tu vimewashinda, ni hospital gani imejengwa na Ccm, Sgr tunadaiwa watanzania wote wewe unaongelea mambo ya CCM hizo trilioni mia na ushee ccm mtazilipa?
 
Kwan chawanists... Lucas mwashamba na choicevariable wanasemaj?
 
Msimu wa vimbunga huu.Umesombwa juu kwa juu.
 
Kwani wewe unasemaje , mkuu 'Mbaga Jr'.
Si ueleze tu ukweli unaouona wewe kuhusu kupendwa kwa CCM?
Mwenzako kaona kama alivyo simulia, nawe tueleze unavyoona kivyako.
Utekaji mmezidiasha
 
Mtoto wa shule,wewe ndio unawatumbukiza kijani wenzio shimoni,je ni kwa kujua ama bila kujua?
Ahahahahaha! Naona Lissu na Heche wanaipeleka Chadema peponi na No Reform, No Election Campaign! Ahahahahaha!!
 
Tilalila atakuja kukanusha
 
TATIZO KUBWA mwenyekiti wetu Dkt Samia. Sijui kimempata kitu gani. Yaani amekuwa na maamuzi yasiyolets umoja. Unajua mfano kumkamata Lisu mtu ambaye hana ushawishi au kuzozana na Gwajiboy ambaye alipaswa ajibiwe na IGP tu itoshe. Yaani inasikitisha sana. Siuoni mwisho mwema wa Dkt Samia kabisa na hakika watanzania tunampenda ila anaonesha chuki kwa vitu vidogo ambavyo yeye kama rais hakupaswa hata kuviongelea.
 
Tendeni haki na muache kuona kama hii nchi ni mali yenu pekee yenu na kujiona nyie ndiyo watanzania pekee mnaostahili kuishi na kuogopwa kwa kujitengenezea kinga kwa njia za kunyima watu wengine uhuru na haki zao, wala hamtachukiwa sana...
 
Ni uoga na kufata kibunda tu, ila ccm haipendwi.

Kama kuna chama pinzani ambacho nacho kingekua na fedha ccm ingeshika adabu, ila ubaya ni kua vyama vingi navyo apeche, vingine ndio hivyo navyo vinapigwa jeki na watawala.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…