IKWIRIRI: Meneja wa Posta ahukumiwa miaka 130 Jela

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Mahakama ya Rufiji leo imemhukumu meneja wa Posta tawi la Ikwiriri, Sophia Nasoro kifungo cha miaka 130 jela kwa kuliibia Shirika la Posta Sh. Milioni 30.

My take:
Hiki si zaidi ya kifungo cha maisha?
 
Mahakama ya Rufiji leo imemhukumu meneja wa Posta tawi la Ikwiriri, Sophia Nasoro kifungo cha miaka 130 jela kwa kuliibia Shirika la Posta Sh. Milioni 30.

My take:
Hiki si zaidi ya kifungo cha maisha?
kama ni kweli,sijui wale walio kwenye maigizo pale zahanati ya sinza walihukumiwa kwa sheria za nchi gani na huyu wa Ikwiri kahukumiwa kwa sheria za nchi gani.
 
Hizo ndizo haki wanazozililia kina Bisimba.

Wawe wanarudisha mara mbili ya walizokwapua ndiyo wanakula hizo mvua.

Halafu hao wanasheria sijui mawakili wa serikali wakishindwa kesi tatu mfululizo wawe wanatimuliwa kazi maanake wanachangia wezi kushinda kesi sababu ya uzembe wao.

Kama vipi wapewe mikataba ya miaka miwili miwili ili contract ikiisha unatathminiwa kabla ya ku-renew.
 
yaani uwizi wa milioni 30 unazidi hukumu ya kuua kwa kukusudia iyo tahasisi nayo nina mashaka sana Elimu za hao mahakimu kama kweli zipo sawa hakuna kuchakachua...sijui..
 
Mahakama ya Rufiji leo imemhukumu meneja wa Posta tawi la Ikwiriri, Sophia Nasoro kifungo cha miaka 130 jela kwa kuliibia Shirika la Posta Sh. Milioni 30.

My take:
Hiki si zaidi ya kifungo cha maisha?
Ila shirika la posta nalo ni gumu sana kimaslahi
 
Dah kuna watu wamekwapua mabilion ya nchii ila mpaka sasa wanakula maisha, huyu mama milion 30 tu kapigwa mvua ya masika.
 
Back
Top Bottom