Ikulu yatoa marekebisho kwenye majina ya wakurugenzi wa halmashauri walioteuliwa na rais

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
marekebisho 2.jpeg
marekebisho.jpg
View attachment 363900 View attachment 363910 View attachment 363910 View attachment 363910 View attachment 363900 View attachment 363900
 
Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*
 
Sasa mbona wamerekebisha moja tu wakati makosa yapo tele namna hiyo?
 
Mmmh!.Kazi ipo.Kama ishu ya majina uteuzi mtihani je mamikataba!
 
Hii serikali kweli ya kukurupuka, na nadhani wakitoa taarifa breki ya kwanza JF kusikilizia ukosoaji.So tukileta makosa mengine watatoa tena taarifa. Haya kuna yule wa Kilolo DC ana kesi ya TAKUKURU Nzega, ni juzi tu alipandishwa kotini. Haya ndiyo mapambano dhidi ya rushwa?
 
Aliefanya hizo blunders bado yupo ofisini? Si bora Hata Anna Kilango arudishwe, nae alikosea kusoma orodha ya vibarua hewa
 
Naamini bado wengine watapata uteuzi humu ndani maana kuna makosa ambayo yatafanya nafasi ziwe wazi.

1. *Dk Leonard Masule* huyu aliteuliwa kuwa *DC Ilemela* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Dodoma*

2. *Justin Joseph Monko* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MUSOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Liwale*

3. *Haji Yusuph Godigodi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS KIGOMA* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kyerwa*

4. *Joel Mwakibibi* huyu aliteuliwa kuwa *DAS BIHARAMULO* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kigoma*

5. *Msongwe* huyu aliteuliwa kuwa *DAS MISENYI* ila kwenye uteuzi huu wa Wakurugenzi inaonesha amepangiwa *Kasulu*

Kuna watu wanamhujumu Rais...hii ni hatari sana...Yaani majina ya walioteuliwa hayahakikiwi? Huu ni utendaji wa kazi wa ajabu...Najua sababu mojawapo ni kutaka kusiwepo na 'leak' kwa majina hayo,,,lakini mtu mwenye majina inabidi awe makini kabla hayajawasilishwa kutangazwa...
 
Back
Top Bottom