lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Kumekuwa na taarifa ya kuwa Ikulu imefanya uteuzi wa Bw. Jerry Muro kukaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
-
Hii taarifa ambayo binafsi kwa mara ya kwanza kabisa niliikuta humu JF ikiwa imeanzishwa na mwanaJF.
-
Kupitia Idara yake ya Mawasiliano, Ikulu imejitokeza na kupinga kuwa Mh Rais JPM hajafanya uteuzi wa aina yeyote ile kwenye nafasi hiyo ya 'Kaimu Mkurugenzi' wa Mawasiliano.