Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,626
- 164,712
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imetoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha kuhusika kwa katibu wa raisi Jakaya Kikwete,Prosper Mbena kumpa Mwongozo Gavana wa benk kuu,bwana Benno Ndulu ili aruhusu uchotwaji wa fedha kutoka kwenye akunti ya Tegete Escrow.
Pia,imeripotiwa kuwa Gavana nae amekanusha kupokea barua yoyote kutoka kwa katibu wa raisi kuhusu akaunti hiyo ya Escrow.
CHANZO:Habarileo
Bado na Gurumo watamtetea.Kurugenzi ya mawasiliano @ work........nani alitegemea majibu tofauti apite mbele?
Bado na Gurumo watamtetea.
UKAWA kwa kutunga uwongo na kutengeneza barua za kughushi hawajambo.
Wakiongea wanavyotoa macho bungeni unaweza dhani wanaongea ukweli kumbe ni kamba tu kuanzia maneno yao hadi viambatanisho vyao vya barua na viambatanisho vingine.
Iko haja ya mbunge anayetoa barua au viambatanisho vya kughushi bungeni aondolewe kinga na awe anaburuzwa mahakamani.Vinginevyo bunge litageuka kuwa kijiwe cha uongo na uzalishaji nyaraka feki.
Ni mbunge gani wa CCM aliethubutu kuomba muongoza kuhusu hilo na kuhoji uhalali wa document za wapinzani?UKAWA kwa kutunga uwongo na kutengeneza barua za kughushi hawajambo.
Wakiongea wanavyotoa macho bungeni unaweza dhani wanaongea ukweli kumbe ni kamba tu kuanzia maneno yao hadi viambatanisho vyao vya barua na viambatanisho vingine.
Iko haja ya mbunge anayetoa barua au viambatanisho vya kughushi bungeni aondolewe kinga na awe anaburuzwa mahakamani.Vinginevyo bunge litageuka kuwa kijiwe cha uongo na uzalishaji nyaraka feki.
UKAWA kwa kutunga uwongo na kutengeneza barua za kughushi hawajambo.
Wakiongea wanavyotoa macho bungeni unaweza dhani wanaongea ukweli kumbe ni kamba tu kuanzia maneno yao hadi viambatanisho vyao vya barua na viambatanisho vingine.
Iko haja ya mbunge anayetoa barua au viambatanisho vya kughushi bungeni aondolewe kinga na awe anaburuzwa mahakamani.Vinginevyo bunge litageuka kuwa kijiwe cha uongo na uzalishaji nyaraka feki.
Ujinga upuuzi wote ule ulioongelewa Bungeni kama kweli IKULU ilihusika wasingesita kuropoka, humu sasa tunapika majungu tu.
UKAWA kwa kutunga uwongo na kutengeneza barua za kughushi hawajambo.
Wakiongea wanavyotoa macho bungeni unaweza dhani wanaongea ukweli kumbe ni kamba tu kuanzia maneno yao hadi viambatanisho vyao vya barua na viambatanisho vingine.
Iko haja ya mbunge anayetoa barua au viambatanisho vya kughushi bungeni aondolewe kinga na awe anaburuzwa mahakamani.Vinginevyo bunge litageuka kuwa kijiwe cha uongo na uzalishaji nyaraka feki.
Mkuu achana na mwehu.Ni mbunge gani wa CCM aliethubutu kuomba muongoza kuhusu hilo na kuhoji uhalali wa document za wapinzani?
Acha ujuha!
watajibu watakavyo lakini ukweli tulishaujua na ukweli utasimama mapema sana subirini mtaona tu