Nyie subirini tu na makelele yenu muda so mrefu hatuta waona humu kwa aibuMagu amesimamia wizara ya ujenzi kwa miaka 20 tunaijua misimamo yake na kazi zake tunazijua. Nilimpigia kura Magufuli siyo kwa kubahatisha.
Ndio kwanza gia namba moja
Huyu alikimbilia ukawa leo anajifanya mchambuzi wa siasa
Hivi hujaelewa kweli majibu ya Sefue au umeamua kujitoa ufahamu?Wanadhani kujenga hoja ni kusema meneno mengi. Wanadai Magufuli alisema atapunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri, kwao Baraza la Mawaziri linaishia kwa Waziri bila ya kujua waziri ni msimamizi wa wizara inayoendeshwa na Katibu Mkuu. Lengo la Magufuli lilikuwa ni kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali na ndiyo kina Mahanga wanamtanabahisha kwamba kama ana Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu wa Kuu kwa kiwango hicho basi hakuna alichofanya!!
Kikwete ameweza au ameshindwa? Kama jibu unalo...Je wana CCM wanamtetea au wanampiga majungu? CCM haina watu wa kukimbia kimbia.Nyie subirini tu na makelele yenu muda so mrefu hatuta waona humu kwa aibu
Nani mwenye Vote kati ya waziri na Katibu wa wizara
kwa hiyo kama kimetolewa na chanzo rasmi cha serikali ndio nini?acha ujuha wewe!!!escrow,epa na ufisadi wote ulitetewa na ikulu and yet kilichokuja kubainika ni disaster.Nonsense! Jifunze kujenga hoja kwenye mitandao ya kijamii. Taarifa imetolewa na chanzo rasmi cha serikali...Sasa sijui unataka nini cha ziada.
Wewe hujaelewa....Hapa hatusemi Katibu kumhudumia waziriKuna uhusiano gani kati ya katibu mkuu kusimamia matumizi ya wizara kwa kuwa na vote na kupungua kwa idadi ya mawaziri? Kwa utaratibu wa zamani kila katibu mkuu alikuwa na waziri wake wa kumhudumia kutoka kwenye vote yake sasa kwa utaratibu wa sasa badala ya kuwa na mawaziri watatu tuna waziri mmoja akiwaongoza makatibu wakuu wake watatu; huoni mantiki ya kupunguza matumizi hapo?
Binafsi naona hiyo ni sahihi kabisa, kwa nje inaweza kuonekana ni wizara moja,kumbe kihualisia zimeungana wizara tatu,sasa hapo mkuu unategemea makatibu watakuwa wangapi?