Ikulu yamshangaa Dk. Mahanga

Yaani utendaji na uadilifu unaaendana na kuweka Makatibu 3 ktk wizara moja????
Binafsi naona hiyo ni sahihi kabisa, kwa nje inaweza kuonekana ni wizara moja,kumbe kihualisia zimeungana wizara tatu,sasa hapo mkuu unategemea makatibu watakuwa wangapi?
 
alisema kupunguza baraza la mawaziri ili kupunguza gharama,sasa labda hakujua kuwa ndio ameongeza...where is his mathematics phd!!!
 
Ukweli ni yakuwa JPM naye ni jipu.
 
alisema kupunguza baraza la mawaziri ili kupunguza gharama,sasa labda hakujua kuwa ndio ameongeza...where is his mathematics phd!!!

Magufuli alisema angepunguza ukubwa wa baraza la mawaziri ili kupunguza gharama; sasa jumla ya mawaziri imepungua au haijapungua? Kama idadi imepungua basi ni lazima gharama pia zitapungua bila hata kwenda kwenye mahesabu!! Kumbukeni kuwa makatibu wakuu sio sehemu ya baraza la mawaziri wao ni sehemu ya serikali na yeye ahadi yake haikuwa kupunguza ukubwa wa serikali.
 
Uhanga wa kisisasa ndivyo ulivyo. Mzee Mahanga enzi zenu zimekwisa kabla hazijaanza maana mlikuwa ndumila kuwili na mlivyohisi uwezekano JPM kushinda dhidi EL mkapiga hesabu mbovu ambazo hivi sasa zimewafanya muwe kama ng'ombe aso pembe kwenye kundi la ngombe wenye pembe. Hivi sasa ni zamu yenu ya kuwaachia wenzenu ili mwisho wa siku tuweze kuwapima utendaji wao
 
Acha upuuzi wewe
Hapa tunajadili hoja sio ukenge wako wa chuki binafsi
Ninyi wabobezi wa chuki binafsi endeleeni
we are past such politics
 

Nani mwenye Vote kati ya waziri na Katibu wa wizara?
 
Adui mkubwa wa Chadema mwaka mmoja uliopita ....

So unataka uadui uendelee milele.

Hizo ni aina yenu ya siasa..anzisheni chama chenu ...wewe slaa na mwanakijiji...nyampafff kabissaaa
 
Hata Raisi akiweka wawe 100 kwa 100.

Mwisho wa siku ni hapa kazi tu na mtaisoma namba.

Mngepewa nyie uo ukatibu na huyo aliyekatwa hata asiyeyasema hayo, akakae chini alee familia sasa.

Anayeisoma namba ni nani?

na kwa misingi ipi?

Acheni ushabiki maandazi
 
Aagh ushabiki maandazi ndio umepitia wewe unafikiri kila mtu. mimi mwananchi nami nashusha yangu haupendi pita.

Angepewa cheo asingebwatwa hayo yote na ndio ilivyo.
Swala hapa sio kupewa cheo

Swala hapa hajaomba cheo

Swala hapa ametoa hoja...Hoja ambazo ikulu yenu imeshindwa kuzijibu

Na mnabaki kugusa vitu vingine

Jibuni hoja nyie standard seven
 
Matumizi tumeyabana kwa kuongea lakini kiuhalisia tuko pale pale......
 
Hakika wewe ni mfuata mkumbo, unaamini kila wanachofanya chadema hakina mawaa...
Acha kurukia mkuki ukiwa kinyume nyume wewe

Fuatilia argument zilikuwa zipi

Acha kuhorojoa hapa.......Darasa la Pili wewe
 
Hapana umekosea, ila wewe una tabia za nyumbu, ni vigumu kutokufautisha na nyumbu...
kama ulivyo wewe na tabia za nguruwe..Fuatilia nguruwe ana tabia gani...utanielewa...sawa eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…