Wana jf, salaam. Waziri wa maliasili na utalii, lazaro nyalandu ameshinda vita. Kwa ghiliba na ushawishi wenye nguvu zisizo kifani, amefanikiwa kuwabadili mawazo wakuu wa ikulu akiwamo katibu mkuu kiongozi. Kwa nguvu hizo, profesa songorwa na profesa kidegesho sasa wanahamishwa wizarani na kupelekwa katika taasisi mbalimbali. Juzi, katibu mkuu kiongozi alimuita nyalandu na wakakamilisha mpango huo. Nyakandu amewaandaa watu wake ili bajeti yake ikwamishwe ktk bunge. Wanaotajwa kusimamia mpango huo ni wabunge wanne. Lengo lao ni kuhoji kwanini maazimio ya bunge yamepuuzwa kwa maprofesa kurejeshwa wizarani. Wanaotajwa ni lugora, lembeli, shelukindo (keshajilipua), sendeka na ndugai. Nchi hii imekufa! Wanaodai uraia wa nchi mbili wameona mbali. Nguvu za pesa zimeshinda.
Tunataka uadilifuuuuuuuuuuuu tumechoka

Tufatilie jimboni ufanisi wake
Wana jf, salaam.
Waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu ameshinda vita kwa ghiliba na ushawishi wenye nguvu zisizo kifani, amefanikiwa kuwabadili mawazo wakuu wa ikulu akiwamo katibu mkuu kiongozi.
Kwa nguvu hizo, profesa Songorwa na profesa Kidegesho sasa wanahamishwa wizarani na kupelekwa katika taasisi mbalimbali. Juzi, katibu mkuu kiongozi alimuita Nyalandu na wakakamilisha mpango huo.
Nyalandu amewaandaa watu wake ili bajeti yake ikwamishwe ktk bunge. Wanaotajwa kusimamia mpango huo ni wabunge wanne. Lengo lao ni kuhoji kwanini maazimio ya bunge yamepuuzwa kwa maprofesa kurejeshwa wizarani.
Wanaotajwa ni Lugora,Lembeli, Shelukindo (keshajilipua), Sendeka na Ndugai. Nchi hii imekufa! Wanaodai uraia wa nchi mbili wameona mbali. Nguvu za pesa zimeshinda.
kuna tuhuma gari ya Nyalandu ilikutwa imebeba nyara za serikali na ikapitishwa pia kuna RB ilifunguliwa, nilisoma habari hii kwenye -----------.... na nimemsikia mama Shelukindo akiongea kwa jazba juu ya suala hili la maprofesa hao kurudishwa wizarani, lakini Jamuhuri msichoke kuwafyatua wachumia tumbo hawaWana jf, salaam.
Waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu ameshinda vita kwa ghiliba na ushawishi wenye nguvu zisizo kifani, amefanikiwa kuwabadili mawazo wakuu wa ikulu akiwamo katibu mkuu kiongozi.
Kwa nguvu hizo, profesa Songorwa na profesa Kidegesho sasa wanahamishwa wizarani na kupelekwa katika taasisi mbalimbali. Juzi, katibu mkuu kiongozi alimuita Nyalandu na wakakamilisha mpango huo.
Nyalandu amewaandaa watu wake ili bajeti yake ikwamishwe ktk bunge. Wanaotajwa kusimamia mpango huo ni wabunge wanne. Lengo lao ni kuhoji kwanini maazimio ya bunge yamepuuzwa kwa maprofesa kurejeshwa wizarani.
Wanaotajwa ni Lugora,Lembeli, Shelukindo (keshajilipua), Sendeka na Ndugai. Nchi hii imekufa! Wanaodai uraia wa nchi mbili wameona mbali. Nguvu za pesa zimeshinda.
kama ni uongo waende mahakamani wakamshtakiManyerere Jacton,
Hivi huna stori nyingine zaidi ya hii kumsema Mh. Nyalandu na Prof Songorwa??
Napata mashaka makubwa na taaluma yako, au na wewe ulikuwa unafaidika na uwepo wao pale wizarani au ni nduguyako?? Uandishi wa habari siku hizi ni rahisi sana.....
Mbona ni wewe tu na sio wengine kila siku na stori zako za uongo juu ya wizara na waziri? Ni wakati sasa inabidi ujitambue.
Mandla.
Itawahukumu nyie na serikali yenu ya CCMHistoria italihukumu taifa
Kagasheki pekee alielekea kuweza hii Wizara kwa vile hana njaa.
Hivi kwani hao watu walioondolewa hizo nafasi waliandikiwa na Mungu kwamba ni zao tu?? Kuna watanzania wengine wanaweza kujaza nafasi hizo tusing'ang'anie watu na kukuza mambo yasiyo na tija kwa wananchi. Uwajibikaji na uwajibishwaji ni jambo la kawaida, tatizo limetokea wakiwa kwenye nyadhifa hizo na kujiuzulu au kubadilishwa vitengo ni mojawapo ya uwajibikaji. Kama wametolewa sio issue. Waziri mkuu wa Korea kusini kajiuzulu baada ya kivuko kuzama sembuse hawa wakurugenzi wa maliasili Tz?? Nini tunataka???