kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 328
Siyo mara ya kwanza Ikulu ya Mwanza kuwa chini ya upinzani mwaka 2000 Diwani wa eneo ilo likiitwa Nyamagana alitokea UDP.Matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa - Mtaa wa Nyamagana yameiweka Ikulu ya Mwanza Chini ya uongozi wa Chadema. Sasa viongozi hao wanatafakari jinsi ya Ikulu hiyo kuchangia mapato mengi kujenga barabara na miundombinu ya Kapripoint ili kuifanya ilingane na hadhi ya Ikulu.
Siyo mara ya kwanza Ikulu ya Mwanza kuwa chini ya upinzani mwaka 2000 Diwani wa eneo ilo likiitwa Nyamagana alitokea UDP.
Mimi sina tatizo mtaa wangu siku zote upo chini ya upinzani, nadhani haumjui vizuri Ritz.Vipi mkuu Ritz ndio unaamka saa hizi baada ya kulishwa viroba pale Lumumba, jana usiku? Nasikia mtaa wako upo chini ya Ukawa. Nakuona umekuwa myonge sana hata kwenye kupost unapost kiadabu adabu.
Karibu sana ukawa ndio pamekucha tunakwenda kusambaratisha wezi wote wa ccmMimi sina tatizo mtaa wangu siku zote upo chini ya upinzani, nadhani haumjui vizuri Ritz.
pingamizi za kishetan zimeiokoa ccm kwenye kifo
Wewe pimbi wa ccm ulikuwa wapi, umeona athari za uwizi na ukandamizaji wa ccm na jinsi wananchi wameamua kuwatosa? Kama uchaguzi ulio pita mlipata 90% ktk huu wa sasa hata 75% itakuwa ngumu.Siyo mara ya kwanza Ikulu ya Mwanza kuwa chini ya upinzani mwaka 2000 Diwani wa eneo ilo likiitwa Nyamagana alitokea UDP.