Kama huogopi kufa kajiunge na hao ndugu zako alikaida. Halafu hapa tunazungumzia kuvamiwa Ikulu ambapo hata innocent people watapoteza maisha. Hapa mkuu unazungumzia masuala binafsi ya dini. Anzisha tread ya dini ili upate mahali pa kutapikia hasira yako ya dini.
Nafikiri mods walichoshwa sana na lile jukwaa la dini ndiyo maana wakaamua kuliondoa kabisa. I can imagine kuwa na members wachache design yako huko kama si kutupiana mapanga na risasi hewani!!!
Sitasilimu hata akishuka mtume Mohamed live!! Niko tayari kukatwa upanga, call me kafiri, right!! It does not matter in my life!!!
Tupunguze hasira, masuala ya dini ni controversial sana.
Ndugu yangu Maane, nani amekuiita kafiri wewe?? Au unajishukumwenyewe tu?? Kama hukuona
theme ya post ile ni ncha mbili:
1.
Kwa watu wote: Ni kujaribu ku-REASON kutokana na matukio yanayotokea ulimwenguni hivi sasa na kwamba yasiwaastaajabishe watu kutokana na madhila wanayopatishwa waislamu katika ardhi na nchi zao aidha directly (invasions and occupations) au indirectly (tyranical regimes/puppets). Na kwamba baada ya muda mrefu, haya yanayotokea sasa ni MWANZO tu wa reversal trend kuelekea katika haki kusimama katika ardhi hizo na Sharia kutawala katika ardhi hizo, ambayo ni halali na haki kwa waumini wowote wa kiislmu, labda mjinga au mnafiki, kuwa na ndoto navyo ndani ya moyo wake kuiona vinasimama na vinatawala katika ardhi zao. Kuwazuia waislamu na halali na haki hizi ni ukandamizaji ambao kwa bahati mbaya hakuna mtetezi yeyote wa haki za binadamu anaejali, watu wooooote are right wings, hivyo wanabaki waumini wa kiislamu kutomtegemea yeyote bali kurudi katika originality ya imani yao, yaani kumtegemea Allah tu peke yake, na hii geneous ya kivita (little means, big results) tunayoishuhudia sasa ni natural expected results kwa mwenye kukandamizwa, hata wengekuwa sio waislamu. Ukufikiri deeply and realistically lazima uone hivyo, labda na wewe ni kama Abdulhalim.
Kwa Abdulhalim: Uzoefu unaonesha kwamba unapo-REASON na huyu mtu na wenziwe lazima u-REASON hard, lazima umuwekee wazi defects za fikira zake na njia mbili kwake lazima ziwe very clear, kufuata au kuacha ni hiyari yao. Yeye na wenziwe mara nyingi huishia kutukana sio imani tu bali Mwenyezi Mungu na Mitume wake kama imani ya dini fulani inavyoamini na kuwatambua, na kama huamini jibu swali hili "Umefahamu nini wewe katika statement yake fupi ya kurespond na yaliyotokea Afghanistan inayosema "
Slaves wa Ibilisi kama kawa/hawa?" " Aaaaaagh, haisemi hivyo unavyofikiri!!! OK, unaona tunavyotofautiana kuona? Kama wewe umeona haisemi hivyo na majibu yangu ni overkill na najibu yasiyokuwepo, basi je nimemtukana nani? na nani personally niliyemwambia ni kafiri? Kwa mujibu wa dini ya kiislamu, hairuhusiwi kufanya hivyo ila inaruhusiwa kudescribe ukafikiri na matendo yake.
Bila shaka wanazo sababu zao na vile vile wana-calculate vizuri mikakati yao hao wanaposingizia uongo, kuvamia na kukalia ardhi za waislamu, vile vile wana hesabu zao wanapolazimisha kwa mapesa na kijeshi tyrants kutawala katika ardhi hizo, na yote haya naturally yatafikia mwisho kama ulivyovikia mwisho utumwa, ukoloni, apartheid, nk. Sasa fikiria mwenyewe kama mtu utakuwa unachukia trend ya namna hii, wewe kama mimi, utajificha wapi? si unaweza kuishia kujiuua mwenyewe (ku-commit suicide). Ipi bora, hivyo au kusalimu amri katika jambo ambalo afterall, despite all the lies against it, islmam is the same way of life (religion) iliyofundishwa na Mitume wote watakatifu, Ibrahiim (Abraham), Daud (David), Muusa (Moses), Isa (Jesus) na mwisho wake ni huyu Mtume Muhammad na hautaleta katika ulimwengu isipokuwa maisha yenye imani na kwamba kila matendo ya wanadamu yatakuwa yanaelekezwa kwa Mwenyezi Mungu muumba na viumbe wake wata-enjoy kutokana na hivyo, labda walio waovu (wanaoendekeza ulevi, maliwati, wazinzi, kuabudu binadamu na masanamu kama celebrities, nk, nk, wala riba, na fasada nyenginezo) ndio wataochukia, kwa maana kweli mambo hayo hayatakuwa na nafasi ya kuiharibu waja wa Mwenyezi Mungu tena, at least katika ardhi ya waislamu.
Kama wewe unajishuku ni hiyari yako mwenyewe, lakini hakuna aliyekuita kafiri na hata siku moja hata wakati huo, let us say hypothetically ukitokea, utalazimishwa kusilimu, hakuna kitu kama hicho, lakini yes, utalazimika ukipenda usipende katika dhahiri na dhidi ya binadamu wenzio KUACHA VITENDO VYA KIKAFIRI. La katika siri, uanweza kuwa utakavyo, lakini jua kwamba Mwenyezi Mungu ni mwenye kujua siri na dhahiri, na mwisho wa makafiri(kukataa na kupinga haki iliyo wazi) ni motoni, na uislamu haiutaki hata mtu mmpja aishie hivyo. Ndio iliposemwa kwa mwenye kusikia kwamba "silimu usalimike" !!!. Ni neno lenye kufikirisha kwa mwenye fikra na ni lenye kukasirisha kwa mwenye chuki.