CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
Nauliza tu,
Baada ya uhakiki kuisha tuliambiwa kuna watu watashushwa mishahara ili hawa wa chini wainuliwe kuweka uwiano, tukaambiwa kuna Bodi maalum ambayo pia ilikuwa inasubiria wajumbe kutoka TUCTA.
Baada ya uchaguzi wa TUCTA nilitegemea ama kusikia Bodi hiyo imekaa au walau kupata update zozote nauliza tena ile Bodi ya mishahara iko wapi ama bado?
Kama bado basi tunaomba Rais wetu umtumbue madam Angela Kairuki na ufumue kabisa wizara ya utumishi kwa kuwafanya watumishi wa uma kuishi kama mazombi mwaka 2016.
Ama la....Watumishi wa uma wafanye vile walivyokusudia kufanya endapo hawatatazamwa kuhusu madai yao ya nyongeza za mishahara na upandaji wa vyeo, uhamisho na madeni yao.
Uongozi unaoacha ngeu.