Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,394
Hata ikiwa hivyo, bado hujajibu hoja. Chadema ya Dr. Slaa Na chadema ya Dr. Mashinji ziko sawa? Bavicha ya Heche Na bavicha ya Patrobas ziko sawa?
Tena ya Mshinji ni zaidi.Kiongozi mzuri ni yule asiye nabei mwenye bei akafie CANADA kwetu hana maana kabisa kabisa.Kama mnamuhitaji mchukueni kama mlivyomchukua Lipumba